Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

EPL: STEVE GERRARD KUONDOKA LIVERPOOL


Captain wa Liverpool FC, Steve Gerrard, ataondoka Liverpool mwisho wa msimu baada ya kupata offer kutoka kwa timu ya LA Galaxy ya nchini Marekani...Gerrard amepat deal ya kuchezea Galaxy kwa pound milioni 3.9 kwa muda wa miezi 18...Habari hizi lianza kutoka LFC TV na ESPN ndio waliothibitisha habari hizi...Bofya hapa upae habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar